Mazishi salama na yenye heshima, silaha dhidi ya Ebola nchini DRC
From Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · 2:35
Show by United Nations
Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, mazishi salama na yenye heshima yanaendelea kuwa silaha muhimu katika vita dhidi ya Ebola. Wizara ya Afya ya DRC kwa msaada wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni, WHO, na wadau wake, inashirikisha jamii moja kwa moja katika mazishi hayo ili kulinda familia huku mila zikiheshimiwa. Augustine Aramba na taarifa zaidi.
More episodes of Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
More episodes
- FAO yawasaidia wakulima nchini Zimbabwe kukabiliana na ukame na kulinda mifugo
- Kuwa na ulemavu hakujazima ndoto yangu ya ujasiriamali - Pikoti Chepkemoi
- Migogoro na milipuko ya magonjwa DRC yazidisha janga la njaa, watu milioni 30.3 hatarini
- 13 NOVEMBA 2026
- 12 NOVEMBA 2026
- 11 NOVEMBA 2026
- Matumizi ya nishati safi ni kiashiria cha mafanikio ya hatua kwa tabianchi - Guterres
- Vijana wasiachwe nyuma - Sara Pima
- Jukwaa la takwimu za afya barani Afrika laanza Nairobi, Kenya
- Wazazi wa watoto wenye mtindio wa ubongo nchini Kenya wavunja ukimya kuhusu unyanyapaa
PodSearch is a free, independent podcast search engine. Read about PodSearch, the privacy policy or contact us.