Government, private or faith-based? Understanding Australia's school system - Ya serikali, ya binafsi, au ya kidini? Kuelewa mfumo wa shule nchini Australia
From New School New Rules - Shule Mpya Kanuni Mpya · 00:09:58
Show by SBS
Choosing a school is one of the first big decisions your family may face when settling in Australia. But with government, independent, faith-based and specialist education options available, understanding where to start can feel overwhelming. Here's what you need to know about Australia's school system and how to find the right fit for your child. - Kuchagua shule ni moja ya maamuzi makubwa ya kwanza ambayo familia yako inaweza kabiliana nayo unapo anza maisha mapya nchini Australia. Hata hivyo, kwa kuwa kuna chaguzi mbalimbali ikiwemo shule za serikali, shule binafsi, shule za kidini, na shule maalum, inaweza kuwa vigumu kujua pa kuanzia. Haya ndiyo unayohitaji fahamu kuhusu mfumo wa shule nchini Australia, na jinsi ya kupata shule inayofaa zaidi kwa mtoto wako.
More episodes of New School New Rules - Shule Mpya Kanuni Mpya
More episodes
- How do Australian schools communicate with parents? - Je, shule za Australia huwasiliana na wazazi vipi?
- What can parents expect when their child starts school in Australia? - Wazazi wanaweza tarajia nini mtoto wao anapoanza shule nchini Australia?
- How do children learn in Australian schools? - Je, watoto hufunzwa vipi katika shule za Australia?
- Is this respect? Understanding behaviour and discipline in Australian schools - Je, hii ni heshima? Kuelewa tabia na nidhamu katika shule za Australia
- How can migrant children make friends and feel like they belong at school? - Je, watoto wahamiaji wanaweza pata marafiki vipi na kuhisi kuwa sehemu ya shule?
- How can you get involved in your child’s school community? - Je, unaweza shiriki vipi katika jumuiya ya shule ya mtoto wako?
- How can refugee families navigate Australian school systems? - Je, familia za wakimbizi zinawezaje kabiliana na mifumo ya shule nchini Australia?
PodSearch is a free, independent podcast search engine. Read about PodSearch, the privacy policy or contact us.