24 NOVEMBA 2026

From Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · 9:59

Show by United Nations

Karibu kusikiliza jarida la habari za Umoja wa Mataifa ikiwa leo ni siku ya mwisho ya wiki ya kimataifa ya kuelimisha umma kuhusu usugu wa viuavijasumu, na pia Siku ya Mapacha Waliozaliwa Wakiwa Wameungana Duniani,. Kipindi cha leo nkinalenga kuelimisha umma kuhusu athari za usugu wa viuavijasumu, antibayotiki au kama inavyofahamika pia usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa UVIDA ambapo utasikia mahojiano ya Flora Nducha na Samson Misinzo Mfamasia Tabibu na Kaimu Msimamizi wa Kitengo cha Huduma Tabibu za Kifamasia katika hospital ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaama Tanzania. Mtangazaji wako ni Cynthia Akhangwa na muhtasari wa habari unawasilishwa na Anold Kayanda, Karibu kusikiliza.

More episodes of Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

More episodes

PodSearch is a free, independent podcast search engine. Read about PodSearch, the privacy policy or contact us.